Bondia Pacquiao amerejia nyumbani Ufilipino baada ya kufanyiwa upasuaji wa bega huko Marekani ambapo pamoja na kushindwa Floyd Mayweather raia wa nchi hiyo walionyesha support kwake baada ya kutua.
Pacquiao
alionekana muda wote akiwa na furaha licha ya maumivu ya upasuaji wa
bega pamoja na kutofanya kile alichokidhamiria katika pambano hilo
lililoweka historia duniani lililofanyika May 2, Las Vegas, Marekani
Pacquiao
alipigwa kwa pointi na mpinzani wake na mara baada ya pambano kuliibuka
lawama kuhusu bondia huyo kucheza huku akiwa mgonjwa
0 comments:
Post a Comment