Saturday, April 18

_MG_5667
Hii burudani haikuwa ya kuikosa mtu wangu.. pata picha yani, hapa AY, hapa Mwana FA.. huku Barnaba, Godzilla, Ben Pol.. yani wote kwa pamoja kwenye stage moja kutoa burudani ya nguvu kwa watu wao pale Regency Park Hotel.

Hiyo ilikuwa jana, Birthday party ya wote waliozaliwa April 17.. hawakuwa wachoyo, waliwashirikisha watu wao ambao walitamani kushiriki nao siku hii kwa kununua ticket kwa sh. elfu 10, alafu wakakutana kusherekea pamoja.
Nikapata nafasi kuzipata PICHAZ za party ilivyokuwa.
Hapa nimeshea na wewe..
_MG_5572
Time ya Barnaba kwenye stage
_MG_5579
Msami
_MG_5602
Msami na dancer wake.. kazi inaendelea kwenye stage
_MG_5610
Burudani ikanoga.. kama Kanye West vile.. Msami nae akajitosa kwenye pool yani
_MG_5620
Ben Pol akiimba ‘Sophia’ na fans wake
_MG_5625
DJ Choka
_MG_5652
_MG_5655
_MG_5667
_MG_5705
Godzilla
_MG_5728
Nikki wa Pili
_MG_5776
Mwana FA
_MG_5783
AY
_MG_5574
_MG_5622

0 comments:

-