Ni
yale matukio ambayo huwa hayajitokezi sana, imetokea Indiana Marekani
ambako Wanafunzi walikua kwenye tamasha la muziki wa Rock shuleni,
wachache ndio walikua wanatumbuiza lakini muda mfupi baadae baada ya
muziki kunoga wengine wakaja kucheza nao kwenye stage.
Kilichofata ni stage kuzama baada ya
kutoboka na kufanya Wanafunzi zaidi ya 12 kujeruhiwa ambapo hii video
hapa chini ni ya mtu aliyekua anarekodi tukio zima na inaonyesha live
jinsi ilivyotokea mpaka ikazama na Wanafunzi hao.
0 comments:
Post a Comment