Tuesday, February 17

Ikiwa ni couple inayozungumziwa na kufuatiliwa zaidi kwenye bongo fleva, Diamond  na Zari the boss lady walitumia siku ya wapendanao visiwani Zanzibar kwa kula #GoodTime sehemu tofauti. Zari na Diamond walionekana kwenye sehemu marufu ya chakula kitamu cha Zanzibar #Forodhani wakichagua vyakula tofauti ikiwa ni mara ya kwanza Zari anafika Zanzibar.

Hizi picha zao pamoja weekend hii.
dv 1
dv 2
dv 3
dv 4 dv 5 dv 7 dv 8 dv 9 dv 10 dv 11 dv 12

0 comments:

-