Baada ya Nicki Minaj kuwa karibu na Rappa
Meek Mil, aliyekuwa mchumba wa Nicki “Safaree Samuels” naye ameonekana
kuwa na mpenzi mpya ambaye ni mwanamitindo Candice Brook. Safaree
ameonekana na mwanamitindo huyu sehemu tofauti na hata kutoka naye
kwenye migahawa huko Marekani.
Hizi ndio picha zao nilizopata.
0 comments:
Post a Comment