Hii inaweza kuwa ni
Mara ya kwanza kuisikia ila huko Uganda kwa mara ya kwanza wakati wa
siku kuu za mwaka mpya wakati wengine wakiwa kanisani huko sehemu
inayoitwa Mukono limefanyika tamasha la kukisiana ambalo liliitwa The
kissing festival , ambapo watu hushindana kukiss na mpenzi ama rafiki
yako..Tamasha hilo limekuwa Gumzo sana nchini humo na lilivuta hisia za
watu wengi sana wakiwemo pia waliolipinga na kusema halina maadili
katika jamii..
Soon Tamasha Hili Litakuja Bongo , Trust Me....
0 comments:
Post a Comment