Sunday, January 25

dume4
Msanii wa kujipamba Jordan Jams Parke anampenda Kim Kardashian kiasi ambacho ameamua kutumia pauni 100,000 (mil 270) kujitengeneza kuwa kama yeye (Kim).
Ameiga urembo wake, mtindo wa kujiremba, na hata ametengeneza nguo zinazofanana na za Kim.
Shabiki huyo Muingereza, 23, anazidi kujibadilisha zaidi, anaweka vipandikizi ili awe na kifua kikubwa kama nyota huyo televisheni.

Kutokana na kujibadilisha kwake huko Jordan anakutana na kila aina ya unyanyasaji wa watu wakimwambia afananii kabisa na kim kardashian
Jordan Uwajibu hivi
“I laugh when people try to insult me by telling me I look plastic or fake. Do they think I’m going for the natural look? If I was, I’d ask for my money back.”
Jordan anafurahia kufanyiwa upasuaji huo kwani nia yake ya kutaka kufanana na Kim Kardashian.
dume7kim kardashian
dume11jp-4jp-9
Mwanaume huyo akiwa katika pozi tofauti  katika pichajp-10

0 comments:

-