Saturday, January 24

Waziri wa Nishati na Madini nchini Tanzania Professor Sospeter Muhongo ametangaza rasmi kujiuzuru wadhifa wake hii leo kufuatia kashfa ya akaunti ya Tegera Escrow.
Taarifa kamili itawajia hivi punde! Toa maoni yako hapo chini tafadhali!

0 comments:

-