Wednesday, December 17


breakingnews1 
Taarifa ambayo imetolewa kupitia Clouds FM mchana wa December 17 ni kuhusu kifo cha aliyekua Mmnenguaji wa muziki wa dansi Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kufariki dunia.
aishamadinda 

Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika,amefariki akiwa hospitali ya Mwananyamala alikopelekwa akiwa tayari ameshafariki,taarifa zaidi zitazidi kukufikia kupitia

0 comments:

-