Ulozi?
Mrembo aliyejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23), anadaiwa
kufukuzwa nyumbani kwao kufuatia kuchanganywa na penzi la mganga wa
kienyeji ambaye pia ni ustadhi aliyejulikana kwa jina moja la
Zein. Mrembo anayejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23)
anayedaiwa kufukuzwa nyumbani.
Akizungumza na gazeti hili mara baada ya kutimuliwa kwao, binti huyo ambaye alikuwa akiishi na wazazi wake walezi maeneo ya Kariakoo jijini Dar alisimulia kwamba alifukuzwa kwao kwa sababu hakulala nyumbani siku moja wiki iliyopita na aliporudi wazazi wake walezi wakamtaka arudi alipotoka.

“Baada
ya kufukuzwa sikuwa na sehemu nyingine ya kwenda zaidi ya kuja kwa
mpenzi wangu (Zein) maana ninampenda na siku si nyingi atanioa.
0 comments:
Post a Comment