Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.
Diamond alikoroga avalia uniform halisi ya JWTZ, wenyewe waja juu wanamsaka aeleze amezipataje?
Yaliyowakuta East Coast Team kwenye "Ama Zangu Ama Zao" na yaliyomkuta King Crazy GK kwenye "Simba wa Afrika" huwenda yakamgharimu pia Diamond
Sheria ya National Defence Act inaeleza wazi kuwa kama kuna mtu anataka kutumia mavazi ya jeshi kwa ajili ya sanaa anatakiwa aombe kibali Makao makuu ya jeshi, na sanaa hiyo itaangaliwa kama ina interest na taifa kwa ujumla.Tofauti na hapo unatenda kosa chini ya sheria nyingine ya usalama wa taifa inayokataza mtu yeyoyote kutumia nguo ya majeshi ya ulinzi na nguo zozote zinazofanana na hizo.sote tunajua ukishitakiwa na sheria ya National security Act haina dhamana ilo mjue.madogo wasichezee moto prosecutor kama mimi akiingia mkononi hatoki ni jela tu.
0 comments:
Post a Comment