Tabora siku yao rasmi ya burudani ilikua ni September 14 ambapo kwenye uwanja wa Al Hassan Mwinyi walijikusanya aisee Tabora mmeandika tena records ya mahudhurio mengi uwanjani.
September 14 Tabora walipata nafasi ya kumuona Dudubaya ambaye alipanda kama kuwasalimia mashabiki wake kisha akakumbushia wimbo wake mmoja kila mmoja alifurahi kumuona na alishangiliwa sana Dudubaya.
Hizi nibaadhi ya picha mtu wangu ambazo unaweza kushare na washkaji waone walichokifanya Tabora,Nuh na Shilole baadae walipanda wakaperfoam pamoja ilikua poa sana.
0 comments:
Post a Comment