Watu watatu wamefariki mkoani Iringa
katika matukio tofauti likiwemo la kufyatuliwa bunduki aina ya gobole.Kamanda
wa jeshi la polisi mkoa wa Iringa Bw. Ramadhani Mungi amewataja
waliofariki kuwa ni Peter Mfilinge miaka 71 mkazi wa kiponzero
,Harrison Lugenge miaka 41 mkazi wa kihesa pamoja na Shiriki Katinga
miaka 23 mkazi wa Isanga.
BW. Mungi akiongea na Fichuo Tz amesema chanzo vifo hivo ni uzembe wa madereva kuendesha gari bila kufuata kanuni na taratibu za barabarani pamoja na umiliki wa siraha kinyume na sheria.
Aidha katika tukio lingine jeshi la polisi linawashikilia watu wanne kwa tuhumiwa mbalimbali ikiwemo kukutwa na risasi aina ya gobole , madawa ya kulevya pamoja na kusababisha ajali.
Hata hivyo, Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Iringa amesema wanaowashikilia ni Aida Kikoti miaka 35,Riziki Paskal miaka 16, na Godfrey mbonde miaka 27 wote wakazi wakazi wa Iringa.

0 comments:
Post a Comment