Muigizaji na mchekeshaji wa Marekani mwenye tuzo ya oscar, Robin Williams, amekufa.
Taarifa ya kifo imetolewa na meneja wake wa uhusiano Mara Buxbaum wakati akizungumza na Us Weekly. Alikuwa na miaka 63.
Taarifa ya meneja wake huyo imesema kwamba katika siku za karibuni Robin Williams amekuwa akikabiliwa na mfadhaiko mkubwa wa akili.
Inaaminika kwamba kifo hicho huenda ni cha makusudi yaani amejiua.
Mke wake Williams, Susan Schneider aliliambia jarida la Us kuwa amempoteza rafiki na mume na kwamba anaomba watu wajali faragha yaow akati huu wanapoomboleza.
Schneider aliyeolewa na mchekeshaji huyo Oktoba 2011 ni mke wa tatu.
Ofisi ya polisi ya Marin County imesema kwamba Williams alikutwa hajitambui nyumbani kwake Tiburon, Calif., Jumatatu mchana.
Ofisi hiyo imesema kwamba kwa sasa wanahofia kwamba mchekeshaji huyo amejiua na kwamba uchunguzi wa kitaalamu unatarajiwa kufanyika leo.
Just last month, Williams, who previously struggled with addiction for years, checked into a renewal facility. An insider told Us that his time at the facility had been planned "for a long period of time" and was "not a last minute decision."
Williams has been vocal about his personal battle with drug addiction. In 2006, the actor checked into rehab for an alcohol-related issue. His rep told Us that the actor's decision to check into the facility in July was not due to a relapse. "After working back-to-back projects, Robin is simply taking the opportunity to fine-tune and focus on his continued commitment, of which he remains extremely proud," his rep said.
The late actor leaves behind an illustrious career and deep impact on the comedy world. Williams was beloved for his memorable roles in flicks like 1989's Dead Poets Society, 1993's Mrs. Doubtfire, 1991's Hook, 1995's Jumanji, 1997's Flubber and 1998's Patch Adams. He won a Best Suporting Oscar for his role as Sean Maguire in 1997 drama Good Will Hunting.
Most recently, the actor starred in CBS sitcom The Crazy Ones opposite Sarah Michelle Gellar.
Williams leaves behind his wife Susan and three children: son Zachary (with first wife Valerie) and daughter Zelda and son Cody (with second wife Marsha)
0 comments:
Post a Comment