Binti wa miaka 11
mwenye asili ya kihindi ameonekana kuwa na hali ya maisha tofauti baada
ya kumfanya nyoka kuwa kama ndio rafiki yake,mtoto huyu anye miliki
nyoka aina ya kobra ambaye nyoka huyo hugonga na kumng'ata mara kwa mara
lakin cha ajabu ni kwamba mtoto huyu amekuwa hasiki kabisa juu ya swala
lake la kumwacha nyoka huyo na bado akiendelea kumpa matunzo kama
chakula na hata kufikia hatua ya kulala naye kabisa katika kitanda
kimoja,Mtoto huyo anayejulikana kwa jina la Kajol Khan alihojiwa na mtandao wa daily mail na ailikuwa na haya ya kusema
“I have a lot of fun with the cobras. It hurts when they bite me, but sometimes it’s my own fault because I tease them. It’s quite funny.”
Picha zingine za mtoto huyu akiwa na nyoka wake ziko hapa chini
0 comments:
Post a Comment