Mastaa
vijana wa Tanzania kutoka kwenye muziki, movie na sehemu nyingine
wakiwemo mastaa wa soka wameungana pamoja na kutumia ushawishi wao
kuonyesha kwamba wakiamua inawezekana.
Tayari walishaifanya video ya wimbo walioufanya wa miaka 50 ya
Tanzania… leo ndio wanaionyesha kwa mara ya kwanza ambapo Rais Kikwete,
Waziri Mkuu Pinda, Rais wa Znz Dr. Shein, Spika Anne Makinda ni miongoni
mwa wakuu wa serikali watakao ungana nao kwenye uwanja wa Jamuhuri hapa
Dodoma kuanzia saa nane mchana.
Miongoni mwa mastaa waliowasili Dodoma tayari ni pamoja na Mwana FA, Diamond,
Wema Sepetu, Kajala, Nikki wa II, Roma, Izzo B, Mwasiti, Quick
Rocka, Young Killer na wengine wengi.
Miongoni mwa mastaa waliowasili Dodoma tayari ni pamoja na Mwana FA, Diamond,
Tanzania naiaminia! kuwa mzalendo na endelea kuusambaza upendo mtu wangu wa nguvu.. tukutane uwanja wa Jamuhuri kuanzia saa nane mchana.
0 comments:
Post a Comment