Kukufanya uelewe zaidi ni kuwa Penny
ameshamove on… So wakati Weimond wakila bata Mtwara, Penny amekuwa
akijiandaa kwenda hewani kama mtangazaji wa kituo kipya cha redio cha
Dar es Salaam, EFM
“EFM 93.7 Dar es salaam… Wazungu wanasema??!!’ Coming soon,” ameandika Penny kwenye picha anayoonekana akiwa ndani ya studio za kituo hicho cha redio.
“EFM 93.7 Dar es salaam… Wazungu wanasema??!!’ Coming soon,” ameandika Penny kwenye picha anayoonekana akiwa ndani ya studio za kituo hicho cha redio.
0 comments:
Post a Comment