Friday, May 9

z16 
Sio kila anaetazama hii post anao uwezo wa kujenga nyumba za namna hii ila kua uwezekano na nyumba ndogo ya saizi yako ukaweza kuibadilisha kwenye sehemu flani baada ya kutazama mpangilio wa hizi za kisasa kuanzia chumbani, sebuleni, garden, taa zilivyowekwa, jikoni na sehemu nyingine.
Hii nyumba ya kwanza hapa chini ipo Slovakia.
z1
z3
z4

z5
z6
z7
z8
Nimependa hiyo TV na kabati lake vilivyopangwa
z9
z10
z11
Wakati mwingine sio lazima swimming pool ikae nje, kwa ndani ni nzuri zaidi manake inakua imefungiwa kama kwenye chumba hivyo hata watoto hawawezi kufika.
z12
z13
z14
z15
Jinsi mpangilio wa taa unavyoweza kuongeza muonekano wa nyumba kuwa mzuri maradufu
z17
Z34 Basement
Ramani zake ndio hizi hapa chini
z38 first level
z39 second levelNyumba namba 2 ndio inayofata na ilijengwa mwaka 2012 Sao Paulo Brazil.
z19
z20
z21
z22
z23
z24
z25
z26
z27
z28
z29
z30
z31
z32
z33
z34
z35
z36
z37
z18

0 comments:

-