Inaweza
kuingia kwenye headlines kama tukihusisha countdown ya ndoa zilizodumu
kwa muda mfupi tena zikifungwa kwa baraka zote kuanzia kwa wazazi hadi
kanisani ambapo Bonface Oduor ambaye ndiye bwana harusi amesema
>>‘alinisaliti baada ya siku 13 ya harusi yetu iliyofanyika
weekend ya pasaka’
Bonface Oduor alimfumania mkewe akishiriki tendo la ndoa na mwanaume
mwingine ikiwa ni siku 13 tu baada ya harusi yao ambapo alimkuta
hotelini jijini Nairobi Kenya.
Wawili hao walikua wakirejea nyumbani baada ya honeymoon ya siku tano
pamoja katika jiji la kifahari la Malindi pwani ya Kenya ambapo harusi
yao ya kufana ilifungwa kwenye kanisa la Pentecostal Assemblies of God
Diani Mombasa.
Oduor amedai harusi yake ilikua ni ya kupoteza muda na pesa na ameapa
kutoishi tena na mwanamke huyo na kujihusisha na uhusino wa kimapenzi
tena kwani hana imani tena na Wanawake.
Kuachana kwao pia kulifanyika kwa kasi baada ya kugundua kwamba Sarah alikua amesambaza picha zake za uchi kupitia WhatsApp.
0 comments:
Post a Comment