Sunday, April 6

chalinze 
Haya ni Matokeo ya awali kwa baadhi ya vituo kutoka jimbo la Chalinze ambayo matokeo yao yanaonyesha kuwa mgombea ubunge jimbo hilo kupitia wa CCM Ridhiwani Kikwete anaongoza kwa sasa.
IMG-20140406-WA0004 
Kazi ya kuhesabu kura katika Jimbo la Chalinze bado inaendelea na matokeo yanategemewa kutangazwa muda wowote kuanzia sasa,Rais Kikwete na mkewe mama
Salma Kikwete wamejitokeza kupiga kura katika kituo cha shule ya Msingi Msoga kuchagua mbunge wa Chalinze.
kikwete
2 
Zoezi la upigaji kura limemalizika kwa utulivu.

0 comments:

-