Sunday, April 6

Tanzania yanyakua ubingwa wa dunia kombe la watoto wa mtaani,Tanzania 3 Burundi 1.Mechi imemalizika Rio de Janeiro,Brazil.... INAWEZEKANAAA!! Hapo kinachotakiwa hawa watoto watafutiwe mawakala ili wauzwe wakacheze "SOCCER" nnje kwa ajili ya "KESHO"
Timu ya Taifa ya
Tanzania yanyakua ubingwa wa dunia kombe la watoto wa mtaani  ni baada ya kuichapa  Burundi magoli 3-1.Mechi imemalizika Rio de Janeiro,Brazil....
Watoto wa Mitaani ya Tanzania ilifanikiwa kuingia fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuifunga Marekani goli  6-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali uliochezwa jana (Aprili 5 mwaka hu
u) jijini Rio de Janeiro Brazil.image
katika mchezo huo wa nusu fainali Mpaka timu zinaenda mapumziko Tanzania ilikuwa mbele kwa goli 4-0,goli pekee la Marekani katika mchezo huo ambayo hadi nusu fainali ilikuwa haijafungwa lilifungwa dakika za mwisho za mchezo huo.
Katika mechi ya kwanza katika kundi B la michuano hiyo,Tanzania ilicheza na Burundi na kutoka sare ya mabao 2-2

0 comments:

-