
Kamera za kisasa za gazeti la Maskani Bongo zilizokuwa zimesambaa ukimbi mzima kwenye party ya Bongo movie zilifanikiwa kunasa tukio moja la aibu toka kwa mastaa Irene Uwoya na Baba Haji wakiwa wamegandana kama ruba huku wakipapasana sehemu nyeti.
CREDIT: MASKANI BONGO,
RSS Feed
Twitter
April 03, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment