Hii
ni ajali iliyotokea eneo la makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na
gari la mchanga asubuhi hii. Juhudi za uokoaji za askari we jeshi la
wananchi wakisaidiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji walifanikiwa
kumtoa dereva wa gari dogo mida ya saa 1:20 za asubuhi baada ya kukaa
humo tangu saa 11 asubuhi. Gari aina ya Landrover maalumu kwa ajili ya kutoa misaada ya magari yaliyopata hitilafu barabarani likijaribu kutoa msaada.

Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.

Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.

Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gari.

Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.

Gari la mchanga lililopata ajali likionekana kwa mbali

Baadhi ya mashuhuda na askari wakishuhudia tukio hilo

Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa

Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa
kumuokoa
kumuokoa

Gari la wagonjwa nalo lilikuja kwa ajili ya kutoa msaada

Gari lililopinduka na kulalia gari dogo

Gari lililopinduka na kulalia gari dogo

Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki

Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki
RSS Feed
Twitter
April 15, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment