Mchezo
wa kirafiki wa Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi ya Namibia
uliochezwa jana usiku huko Windhoek, Namibia umeisha kwa matokeo ya
sare.
Stars ambayo kwa mara ya kwanza inacheza mechi baada ya kuondolewa
kwa kocha mkuu wa timu hiyo Kim Poulsen,
ilianza kupata bao kwenye
mchezo huo lilofungwa na Khamis Mcha katika dakika ya 87, kabla ya
Namibia kusawazisha dakika mbili baadae na mpaka mwamuzi anamaliza mpira
matokeo yalikuwa 1-1.
RSS Feed
Twitter
March 06, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment