Thursday, March 6

mzuwanda1 
Imesharipotiwa mara kadhaa kuhusu uhusiano wa Shilole na Nuh Mziwanda ingawa wamekuwa wakikataa kila wanapoulizwa kuhusu mahusiano yao,mwishoni mwa wiki iliyopita ukumbi wa
DarLive kila kitu kilikuwa wazi na wote wamekubali kuwa wapo kwenye mahusiano ya Kimapenzi.

0 comments:

-