
ndipo rais alijaribu kama kumpita lakini askari huyo bila kujua alisimama imara ,,,, ndipo uhuru aliposhusha kihoo na kusema " ni mimi officer fungua" hata hivyo maaskari wamekuwa na furaha na utawala wa raisi huyo kwani wanadai siku hizi hawapati kazi ya kucontrol magari kwa ajili ya msafara wa rais kama ilivyokuwa utawala wa mwai kibaki
RSS Feed
Twitter
February 08, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment