Mwanamke mmoja ambaye alifahamika kwa jina la Rashushi Amani Shembusho, mkazi wa Pasua, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, ametapeliwa kiasi cha shilingi milioni 5.4 na watu wasiojulikana asubuhi ya juzi, Februari 20.
Bi. Shembusho akilia kwa uchungu baada ya kudanganywa
na watu wawili, wa kike na wakiume ambao majina yao bado
hayajafahamika. watu hao walimpeleka katika Hoteli maarufu mjini moshi,
Fresh Coach na kumtapeli shilingi milioni 5.4 ambazo alikuwa ametoka kutoa Benki ya Uchumi ya mjini Moshi.
Askari
wa Hoteli hiyo inayodaiwa kutumika kumtapeli mwanamke huyo akimtuliza
Mama huyo ambaye alionekana kuchanganyikiwa na tukio hilo.
RSS Feed
Twitter
February 22, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment