Thursday, February 20

 
Big Daddy V enzi za uhai wake.
 
 Big Daddy V akiwa kazini enzi za uhai wake.
Mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na Big Daddy V amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo jana Jumanne. Big Daddy V amefariki akiwa na umri wa miaka 43.

 
                                                  MCHEKI HAPA VITU VYAKE ENZI ZA UHAI WAKE AKIMGARAGAZA MTU!!

0 comments:

-