Research ndogo iliyofanyika katika psychology ya rangi za nguo kwamba rangi ya nguo inaweza kukuongelea jinsi ulivyo.

Black
Watu wengi hupendelea
nguo nyeusi, ni rangi ambao maarufu katika interviews kwani is not
shouting na pia nzuri katika mazingira ya asubuhi na pia inakuonyesha
u-seriuos wako.
Brown
Hii ime-relax sana, ni
rangi ya ardhi na pia unaweza kuvalia vitu vingi sana, ni rangi
iliyotulia na pia inatumika sana na vitu hii ikimaanisha unaweza
kuaminika katika mtazamo wa watu, avoid sana kuivaa pekee yake kwani
inaweza kupoteza kuonekana kwake na kuwa boring una weza kuichanganyia
na rangi nyingine kama green ili uweze kuichangamsha.

White
Nyeupe ni rangi sahihi
kuvaa, kwani inasimama sehemu nyingi sana hapa nikisema white you all
know ni nini nakiongelea kwani nyeupe huleta vijana pamoja, its vitality
and purity inajionesha ikivaliwa kutoka juu mpaka chini na pia ni
rangi moja maarufu sana Duniani.
Blue
Hii inakuonyesha kama
uko real stable hautetereki na pia unaweza kuaminika mbele za watu , kwa
kuongezea tu hii inaweza kuitumia hata katika interviews ni rangi nzuri
kuivaa.
Purple
Inaweza kukuongelea vizuri sana rangi hii kama wewe ni mbunifu na pia kukuonyesha kama kweli wewe unajali kuvaa.
Red
Hii ni rangi inayonyesha
nguvu na pia inaonyesha vitu vingi sana kwa mvaaji. kwa mfano Love and
Romance nadhani unajua kama hata Valentine iko na red lakini tusisahau
kidogo itakuonyesha hatari ndani yake…..
RSS Feed
Twitter
February 10, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment