Maigizo
mengi sana nchini huwa yanalalamikiwa kukosa uhalisia wa tukio,hebu
tumia dakika zako chache kuangalia namna picha hizi zilivyochanganywa
ambazo zinamuonyesha Kitale kama kamkata kichwa huyo jamaa.
Kwa haraka haraka unaweza kudhani kweli lakini bado sijajua jina la
movie hii ingawa kwa kisehemu hiki kinaonyesha kama ni movie inayoongea
na vitendo zaidi,lakini najiuliza hapa m
bona kichwa hakionekani maana
kwa picha hii inaonekana kama jamaa ndo kamkata Kichwa muda huo.
Inawezekana labda hakikutakiwa kuwepo kwa mujibu wa muongozaji
‘Director’ .kwenye post za kitale picha ya juu aliipa maelezo’Jela kwetu
si Disco’ na hii picha ya chini kaipa maelezo ‘Ukizingua tunazingua’
jina la movie hii bado hajaweka wazi ingawa wako kwenye hatua za
utengenezaji.

RSS Feed
Twitter
February 06, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment