Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji leo amejikuta katika wakati mgumu kutokana na foleni kali ya magari.
 Hata hivyo akili yake ilichemka haraka na kuamua kusahau kuwa alitajwa  kwenye orodha ya Forbes 2013 ya watu matajiri zaidi Afrika, kukodi piki  piki aka boda boda.
 “The traffic in Dar is crazy,I was so fed up sitting in the car, I had to  rent a(Boda Boda) 2 make it 4 a meeting, I guess I need a chopper,”  alitweet.
 Huenda wazo la kununua chopper akalifikiria kwa nafasi kubwa zaidi ili  kuepukana na foleni kali wakati mwingine na hivyo kushindwa kuhudhuria  mikutano ya maana.
 RSS Feed
 Twitter
November 27, 2013
Unknown
0 comments:
Post a Comment