Sunday, September 1



Kama unamfuatilia Jay Z kwa makini na wewe ni shabiki wake, Basi definitely utakuwa ume-note bonge moja la chain ambalo mkali huyu amekuwa akilitupia katika events mbalimbali, hata ndani ya video mpya ya Holy Grail, , haya ndio mambo ya kushangaza ambayo yanaihusu chain hii.
 
Chain hii imetengenezwa na ma-dealer wakubwa kabisa wa vito vya thamani ambao wanajulikana kama Rafaello & Co na nin dhahabu yenye uzito wa kilogram 5, so ukimwona mchizi ameitupia ujue amebeba mzigo wa maana.
Gharama ya chain hii kwa makadirio ni dola laki 4 ambayo ni zaidi ya shilingi milioni 645 za kitanzania na ni kijisehemu tu cha madini ambayo anamiliki Jay Z.
Thats all about jay-Z's Yellow Gold Cuban Link Chain

0 comments:

-