Wednesday, August 14


 MARTINA
   UWOYA  
ROSE NDAUKA  NA MAYAAMA kweli dunia imekwisha!




KUMBU KUMBU  YA SAKATA  HILO LA AIBU.


...kulia kwake ni unga..bila shaka ulimpotezea kumbukumbu

tangu picha hizi zianze kusambaa mitandaoni,Aisha alifunguka  kuwa  picha hizi ni za kutengenezwa.

Mtandao ulimtaka Asha awathibitishie watanzania kuwa picha hizi si zake lakini alishindwa kuthibitisha  kuwa picha hizo ni za kutengeza, zilitengnezwa wapi na lini na vigezo gani vinavyoonesha picha hizo ni za kutengeneza.

Ushahidi ulibaini  kuwa, picha hizo ambazo za mnato na video ni za Aisha mwenyewe upo wazi na hakuna shaka yoyote.NI TAMAA ZA   WASANII  WA BONGO NA ULIMBUKENI WAO.


.
Hata hivyo, sehemu kubwa ya picha za mnato na video hizo zinaonesha wazi kwamba, Aisha alikuwa tayari kupigwa picha hizo, kwani kuna wakati alikuwa akitazama kamera na nyingine akiwa ameweka pozi.

Mara baada ya kutua Bongo akitokea Afrika Kusini, alimwangukia bosi wake, Asha Baraka akimwomba radhi kwa yote aliyoyafanya Afrika Kusini .

Katika habari hiyo, Asha Baraka  alinukuliwa akisema kuwa, anaamini Aisha aliteleza na hivyo ameamua kumsamehe na kumrudisha kundini kuendelea kupiga mzigo kama kawa.

....ntajua ntakachowaeleza watanzania...

0 comments:

-