Tuesday, July 23



Ndoa nzuri kabisa ambayo mimi naamini kwamba inaweza kudumu, ni ile ya kati ya mwanaume kiziwi na mwanamke kipofu.

Mwanaume hatasikia ghubu na kelele za kulalamika za mkewe kila wakati hivyo atakuwa na amani wakati wote na mwanamke naye hataona mwenzake akitoka nje ya ndoa au akikodolea macho wanawake wengine na kuwakonyeza wala kumuona akisoma meseji za mapenzi kutoka kwa mahawara zake kwenye simu yake.

Kwa hali hiyo ndoa hiyo itakuwa na amani na itadumu kwa miaka dahari.

Ni nani anabisha....?

0 comments:

-