Thursday, July 25

PUNDA ABAKWA HADI KUPOTEZA MAISHA HUKO NCHINI KENYA.

 
Huko Kamahuha, Maragua nchini Kenya kumetokea tukio ambalo liliwashangaza sana wakazi wa eneo hilo baada ya kukuta maiti ya Punda aliyedaiwa kubakwa mpaka kufa na watu wanne wenye njaa ya ngono.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane karibu na kanisa, amapo watu wa eneo hilo la Kamahuha walikimbia kwenye kituo cha polisi na kutoa taarifa juu ya kitendo hicho kilichofanywa na wanaume wanne walionekana usiku huo wakiwa
wamemning'iniza punda huyo juu ya mti na kuanza kumfanyia kitendo hicho cha ajabu.

Pia walikuta kondomu zilizotumika karibu na maiti ya Punda huyo huku akiwa amefungwa miguu yote ya nyuma.

Viongozi wa eneo hilo la Maragua wamelaani sana kwa kitendo hicho ambacho wamekiita ni cha Kishetani, pia wamedai wamekuwa wakiwaita wakazi wa eneo hilo na kuwasihi waachane na matendo hayo machafu ambayo mengi upelekewa na utumiaji wa pombe na madawa ya kulevya.

0 comments:

-