Tuesday, July 23

 
Jana siku katika kipindi cha ala za roho kinachoendeshwa na mwanamama loveness love katika station moja hivi hapa nchini Tanzania,kiingereza kiliwatoa nishai kina dada hawa wawili wanaotamba kwa sasa kwenye chati ya muziki wa bongofleva na bongo movies na kushindwa
hata kujiintroduce kiduchu.
    hii ni baada ya mtangazaji huyu kuwapa nafasi ya dakika tano tano kwa kila mmoja kujielezea kwa lugha hiyo ya kigeni na matokeo yake wakaishia kusema kuwa hawaitambui lugha hiyo na kwamba wapo katika mchakato wa kuingia darasani na kujifunza lugha hiyo ya kiingereza.......
   Swali ni jee shilole kusema kuwa atafanya collabo na J-LO?collabo hiyo itaombwa vipi na itafanyikaje????

0 comments:

-