KUJICHUA/PUNYETO NA
MADHARA YAKE. (MASTURBATION)
Uchuaji wa mara kwa mara na kutokwa kwa manii
huchochea mwitiko wa mwili unaofanya kazi ya kikemikali mwili iitwayo
Acetylcholine/parasympathetic nervous kufanya kazi na hivyo kusisimuliwa kuliko
kidhili husababisha mwili kuzalisha Sex homoni nyingi sana na Neurotransmitters
kemikali mwili kama acetylcholine, dopamine and serotonin kwa wingi sana.
Matokeo
Wingi usio kawaida na kiwango kikubwa cha Sex
Homoni na Neurotransimitters hupelekea Ubongo na Adrenal Glands kufanya mabadiliko
mbadala wa Kemikali ya dopamine-norepinephrine-epinephrine na kwa tendo huufanya Ubongo na Mwili kuwa na mwitiko
mwendeleo isiyosubiri ushawishi (sympathetic) Kwa maneno mengine ni kuwa kuna
mabadiliko makubwa ya mfumo wa kikemikali wa mwili (body chemistry) endapo
Uchuaji (masturbation) utafanywa kuzidi sana / excessively.
Masturbation/Uchuaji
kama tabia nyinginezo
unapoifanya mara kwa mara huzoeleka na kumfanya mtu kuathilika kisaikolojia
na kifizikiolojia na kuwa katika hali isiyo ya uwiano sawia ya mifumo
husika.
Madhara ya
Mabadiliko Hayo ya mwili hujumuisha:
- Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.
- Maumivu ya nyonga / Lower back pain.
- Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
- Uume dhaifu wakati wa kusimama / Soft / Weak Erection
- Kufika mapema kileleni / Premature Ejaculation
- Kupoteza ung’aavu wa uono /fuzzy vision
- Maumivu ya kende / Groin / Testicular Pain
- Maumivu ya kiuno / Pain / cramp in the pelvic cavity or/and tail bone
Je hujichua mara ngapi ni zaidi ya sana kuzidi?
Inategemea ila mtu anaweza kujamiiana mara mbili mpaka tatu kwa wiki
katika hali ya kawaida ya tendo la ndoa. Ingawaje tendo la ndoa linaweza
kufanyika mara nyingi zaidi pale ambapo mwanaume atajifunza kufikia kutika
kilele cha Raha (orgasm) bila ya kutoa manii (shahawa) na kwa kufanya hivyo atajihifadhia
nguvu ya kibaiolojia katika mfumo wake na kuufanya Uume kuwa wenye nguvu na
kuendelea na mwendo kwa muda mrefu zaidi na mwishoni kupata mshindo wenye ujazo
tosha mkubwa na ulio katika viwango vya ukweli.
Masturbation /kujichua
ni sehemu ya maisha ya Jimai na baadhi ya madaktari hushauri siyo tu kuongeza
uzoefu katika tendo la ngono ila pia katika kuboresha afya kwa ujumla wake.
Ingawaje kuzidi kwa kila jambo hata kama ni jema huwa baya, vivyo hivyo
kukidhili kwa ufanyaji wa uchuaji husababisha dalili kama Uchovu, Msongo
kupoteza kumbukumbu na kwa
watu wengine Hupata Hali yakutoweza kuzalisha au kutosimamaisha/ kusinyaa kwa
uume na pia kupoteza nywele ama nywele
kunyonyoka.
Katika hali na mazingira Fulani Uchuaji si mzuri
wala si mbaya.
Stadi za karibini zimeonyesha kuwa asilimia 87% ya
wanawake na 95% ya wanaume wamewahi kufaya Uchuaji na baadhi waliofanya Uchuaji
wa kukithili walipata matokeo ya mabadiliko ya mfumo wa utendaji kazi wa Ubongo
na Kemikali ya mwili (body chemistry).
Symptoms/ dalili (pia
hujulikana kama mfadhaiko wa Jimai) huu ni Msongo wa Ini na mfumo wa fahamu,
ambao hujumuisha hali ya kushindwa kwa Uume kusimama au kusimama kwa muda mfupi
tu( hii ni pamoja na usimamaji dhaifu wa Uume) na pia kutokwa na manii / (
shahawa) (seminal leakage) pasipo kujijua ama kutaka. Wakati asilimia zaidi ya
thelathini 30% ya wanaume wamewahi kupatwa na tatizo la Uume kushindwa kusimama
au kuwa dhaifu unapo simama.
Uchuaji Uliokithili
unaweza kusababisha tatizo la kutokwa/kuvuja kwa Manii (seminal leakage)
Hali hii ni pale ambapo
shahawa ama manii hutoka kwenye Uume bila hata ya Uume kusimama. Kutokwa na
Manii na hali ya kuishiwa nguvu vyote hivi husababisha kuwepo na unyanya paa
binafsi na kutokujiamini na hizi ni dalili za Msongo/Mfadhaiko wa Jimai.(sexual
exhaustion )
Acha Hali ya
Tabia ya mazoea ya kufanya Uchuaji kwa Kufanya yafuatayo:
Hatua ya kwanza ni kupunguaza Uchuaji na Utoaji
manii; jaribu kuachana na tabia hii mbaya. Kula chakula cha aina ya Jamii ya
maharage ya Soya na upunguze utumiajia wa vinywaji na vyakula vyenye Caffeine
mfano kahawa katika mlo wako, pia acha ama punguza uvutaji sigara.
Jitahidi kutumia Jamii ya nafaka na mbegu kama Alizeti, korosho, karanga, kula zaidi vyakula vya mazao bahari( sea
foods) kama seaweed, mboga mboga na pia jaribu kupunguza ulaji wa Nyama
Nyekundu na maziwa, na badala ya Soda kunywa Juice ya Machungwa, cranberry
Juice na pia unywe Maji kwa wingi.
Zipo Dawa zilizotengenezwa kwa Viasilia asili
kutoka katika makampuni mbalimbali dunia ambazo zinaweza kumsaidia mtu
aliyeathilika na kati ya matatizo yaliyotajwa hapa na zaidi ya Haya ambazo
ninazifahamu na ninaweza kushauri Utumie ila awali ya yote Tumia kwanza Taratibu za vyakula ambazo Ukifuata Kanuni hutakuwa
na Haja ya kuingia Ghalama kubwa za kununua Madawa Haya ambayo kimsingi yametengenezwa kwa
vyakula tunavyokula kila siku pasipo kujua umuhimu wa baadhi ya viasilia vilivyomo
ndani yake.
0 comments:
Post a Comment