Tuesday, April 19


April 19 2016 Mkutano wa tatu wa Bunge la kumi na moja umeanza, na lengo lilikuwa ni  ni kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali.
Katika baadhi ya sekta zilizojadiliwa ni pamoja na Wizara ya  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, na Philipo Gekul ambaye ni Mbunge wa Babati Mjini aliuliza ‘Je, ni lini Serikali itamaliza tatizo la ulipaji ushuru wa huduma ambao ni asilimia 0.3 unaotozwa kutoka mitandao ya simu ambao kwa sasa halmashauri zimeshindwa kukusanya ipasavyo
Naibu Waziri Mhandisi Edwin Ngonyani  akajibu >> ‘Suala la ulipaji ushuru wa huduma za mawasiliano ambao ni asilimia 0.3 limekuwa tatizo kwa pande zote mbili, yaani Halmashauti ambazo ndio zinakusanya na kampuni ambazo zinakabiliwa na ugumu wa kuzilipa.’
Kwahiyo Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za mikoa, hivi sasa inafanyia marekebisho sharia ya fedha ya Serikali za mitaa ili kuwezesha kukusanya ushuru wa huduma za mawasiliano mahala pamoja
Baada ya hapo Spika wa Bunge Job Ndugai akaahirisha kikao, na kitaendelea tena April 20 2016 siku ya Jumatano
HERM8739
.
AW1A1881
.
AW1A1895
Spika wa bunge Job Ndugai akiongea mbele ya washiriki wa bunge
AW1A1903
Mbunge wa Mikumi Joseph Haule kutokea mbele na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi
AW1A1905
.
AW1A1914
Baadhi ya ndugu wa wajumbe 
AW1A1916
.
AW1A1927
Spika wa bunge akiondoka baada ya kuahirisha mkutano
AW1A1932
AW1A1944
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika picha ya pamoja nje ya bunge
AW1A1957
.
HERM8644
.
HERM8676
Waziri mkuu Majaliwa na Waziri Makamba
HERM8712
HERM8739
Waziri wa Elimu-Joyce Ndalichak
o

0 comments:

-