Wednesday, February 17


godzill
Rapper Godzilla amefunguka na kusema kuwa kwa muda wote ambao amekuwa kwenye muziki ametengeneza marafiki wengi maprodyuza kuliko wasanii wenzake.
Godzilla ameweka wazi kuwa urafiki na maprodyuza unaweza kumfanya afanye kazi nyingi na kwa bidii.
most of my time kwenye muziki maprodyuza wamakua marafiki zangu kuliko wasanii,msanii anaweza akakualika njoo sehemu fulani kuna bata,prodyuza anaweza kukualika njoo studio kuna beat” alifunguka rapper huyo wa I get high

0 comments:

-