Monday, October 12



Peter Okoye wa kundi la P-square amekuwa akituletea mfululizo wa show yake yake inayoitwa ‘Dance with Peter’ .
Show hiyo inayosimamiwa na majaji Ehiz, Kaffy pamoja na Don Flexx imekuwa ikishirikisha madancer kutoka Benin, Port-Harcourt  pamoja na Lagos.
Leo ametusogezea sehemu ya pili na ya tatu ya shoo hiyo….

SHOW YENYEWE HII HAPA

0 comments:

-