Monday, October 19


Wananchi waliohudhuria mazishi ya Baba yake Meya wa Ilala Jerry Silaa, leo mchana at makaburi ya Pugu Sekondari. Baba yake Jerry ndiye aliyekuwa rubani wa Chopa iliyoanguka na kumuua Mbunge wa Ludewa Mh. Deo Filikunjombe.





Mheshimiwa Jerry Silaa mwenye miwani akiongea na Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi kabla ya mazishi kufanyika.




Le Mutuz Nation with Nikasi at Mazishi.





0 comments:

-