CARLOS
SLIM HELU ni tajiri wa kwanza duniani kutoka kwenye Forbes,. Ni mexico
anayemiliki mitandao ya simu anaenesha gari aina ya BENTLEY CONTINENTAL
FLYING SPUR yenye thamani ya dola laki 3
Bill
Gates nitajiri wapili duniani anaendesha gari aina ya PORSCHE 959 COUPE
ambayo n magari 230 yaliyopo duniani kote. Ili bidi raisi Bill Clinton
kasaini mkataba wakumruhusu tajiri huyo kuendesha gari hilo ambalo
halikujaribu kwenye testini ya majaribio kama linafaa kuendeshwa.
Kipindi alipo linunua lili kuwa lina mgharimu dola laki 2 na 25 elfu
lakini sasa lina thamani ya dola laki nne
Tajiri
mwingine ni Alice Walton ambaye ni mrithi wa supermarket kubwa marekani
inaitwa WaL-Mart, ni tajiri wapili kwa upande wa wanawake duniani.
Lakini gari anayoipenda ni ford ya mwaka 2006 inayoiytwa FORD F-150 King
Ranch. Imnauzwa kwa bei za kawaida dola elfu 40.
Ingvard
Kamprad ni mwanzilishi wa kampuni ya IKEA yenye thamani ya dola Bilion
28. Gari analoliendesha ni Volvo 240 ya mwaka 1993. Na kama ataliuza
gari hilo litakuwa na thamani ya dola $1500
Meya
wa New York’s bwana Michael Bloomberg anaye endesha gari aina ya Audu
R8. Ambayo show window inauzwa dola laki 1 na 20 elfu, nakimbia speed
60mph kwa sekunde 3.2
Bilionea
Larry Ellison, mwanzilishi wa Oracle , ni maarufu kwa magari yake
mengi. Katika magari yote anayoyafili ni McLaren F1. Mwaka 1998 ni gari
lililotajwa kuwa ni gari linalokimbia mno barabarani. Uzalishaji wa
magari hayo ulisimamishwa maka huo huo na wakitaka kuya chuku kwa kila
moja lina thamani ya dola milioni 4.1
Warren
Buffett ni mmoja wa matajiri wakubwa mno duniani, yeye ni muwekezaji na
mjasiriamali mkubwa nchini marekani. Anaendesha gari aina ya CADILLAC
DTS, ambapo ununuaji waki wagari hilo iliisaidia kujanyua kampuni ya
GENERAL MOTOR ambayo ilikuwa inaanguka. Gari hilo kwenye maduka ya
magari lina thamani ya dola elfu 45
Mark
Zuckerberg ni tajiri kijana duniania ambaye ni mmiliki wa facebook, na
mwanzilishi wa facebook anaendesha gari la aina BLACK ACURA TSX. Yenye
thamani ya dola elfu 30 tu.
Tajiri
mwingine nitajiri mwenye kampuni ya Computer ya Dell, Michael DELL
ambaye anaendesha gari aina ya PORSCHE BOXTER ya mwaka 2004. Ambalo
model mpya yake inathamani ya dola elfu 80. Naunaweza kununua gari hili
likiwa limetumika chini ya dola elfu 20
Steve
Ballmer mmoja kati ya matajiri wakubwa mno dunia. Ambaye yupo ndani ya
Microsoft. Ambaye anaendesha gari ya kampuni ya ford HYBRID FUSION. Gari
lenye thamani ya dola elfu 19 kwenye maduka ya magari
Mwanzilishi
wa NIKE Phil Knight anaendesha gari Aina ya AUDI R8 yenye thamani ya
dola laki 1 na 20 elfu, aliepata aina ya black model yenye mapanga ya
silva pembeni.
Tajiri
mwingine ambaye ni mrithi wangu za Pinault Francois Henri Pinaul
anayeshea gari lake na mke wake mzuri Salma Hayek ambayo ni Lexus SUV ,
ambayo ikiwa mpya inathamani ya dola elfu 40 bila kuipimp, au kuiongeze
vitu vingine
LAURENE
POWELL JOBS ni mjani wa aliyekuwa muwanzilishi wa kampuni ya apple
Steve Job. Ambaye anaendesha gari aina ya Audi A5 ambayo ilikuwa imepaki
nyumbani kwake Palo Alto. Ambayo thamani ya gari hilo inaanzia dolsa
elfu 37,
Google
tycoon Eric Scmidt ndio anayeendesha gari la wastani kuliko wote ambalo
ni Toyota Prius. Ambayo haiharibu mazingira “environmental friendly”
thamani yake inaanzia dola elfu 11
0 comments:
Post a Comment