Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha .
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanachama wa CHADEMA,
Lawrence Masha jana alikamatwa na Jeshi la Polisi, leo amefikishwa
Mahakama ya Kisutu Jijini DarAnashtakiwa kwa kosa la kuzuia Polisi wasitimize majukumu yao(Obstructrion of Justice)
0 comments:
Post a Comment