Sunday, July 26


manchester-united-vs-barcelona-pre-season-friendly-2015 
Usiku wa kuamkia July 26 vilabu viwili vikubwa barani Ulaya vilikutana kucheza mchezo wa International Champions Cup, michuano ambayo bado inaendelea katika nchi mbalimbali na sehemu zingine kumalizika…Michuano hii ambayo klabu nyingi hutumia kama sehemu ya maandalizi ya msimu mpya ya Ligi Kuu katika nchi zao, usiku wa July 25 kuamkia July 26 umezikutanisha timu za FC Barcelona ya Hispania dhidi ya Manchester United  ya Uingereza.
481933062
Mchezo huo umepigwa katika Uwanja wa Levi’s Stadium California Marekani hadi dakika 90 zinamalizika Manchester United imeibuka na ushindi wa goli 3-1 magoli yakifungwa na Wayne Rooney dakika ya 8, Jesse Lingard dakika ya 65 na Adnan Januzaj dakika ya 91 huku goli pekee la kufutia machozi kwa FC Barcelona likifungwa na Rafael Rafinha dakika ya 90.

Generated by  IJG JPEG LibraryHii sio mara ya kwanza kwa klabu za FC Barcelona na Manchester United kucheza mechi ya kirafiki kama hiyo ya International Champions Cup 2015, kwani iliwahi kukutana mwaka 2011 na Man United kuibuka mshindi kwa goli 2-1 kabla ya mwaka 2012 kukutana tena na FC Barcelona kushinda kwa mikwaju ya penati.
481971214
481970990
481970956
481970918
Generated by  IJG JPEG Library
481955112
481966094
Manchester United's Wayne Rooney, center, celebrates with teammates after scoring a goal against FC Barcelona during the first half of an International Champions Cup soccer match in Santa Clara, Calif., Saturday, July 25, 2015. (AP Photo/Jeff Chiu)
481971680
481971646
481971272

0 comments:

-