Wednesday, July 1

Ney wa Mitego amewanunulia usafiri wa kuendea shule watoto wake wenye upekee ndani yake.Kuna vitanda vya kulalia,sehemu ya kunawia mikono,tv na meza ya chakula upekee wa gari hilo ili watoto wasipate tabu ya usafiri na wataanza kulitumia mwakani yupo kwenye mchakato wakutafuta dereva.Hili ni gari la watoto wa rais wa manzese

0 comments:

-