Wengi sasa hivi tunafahamu ya kuwa Aunt Ezekiel ni mama wa mtoto mzuri wa kike aliempa jina la Cookie, baba wa mtoto huyo ni moja ya dancers wa Diamond Platnumz, ambaye anaitwa Mose Iyobo.
Muda mfupi uliopita staa huyu wa Bongo Movie ameweka picha @Instagram, amejichora tattoo ya jina la mwanae na mpenzi wake.
>>> “Sababu
ya kuishi, kupumua, kupambana na mafanikio, kupenda na kuumia, kusahau
na kusamehe. Sababu ya mimi kuwepo ni wao. Eeehh Mungu! nibariki mimi na
wapendwa wangu wawili. Na kwa haya nashukuru. HAPPY 40 DAYS MY
WORLD…….@cookie_la_princessa_iyobo”<<<Baada ya maneno hayo ameweka picha hii.
RSS Feed
Twitter
July 10, 2015
Unknown
0 comments:
Post a Comment