Tayari nimesogea hapa Mlimani City Dar
es Salaam… Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Tanga na Naibu Waziri wa
Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba anakuja hapa leo.
Kwenye list ya waliokuwa wakitajwa kuwa
wanahitaji ruhusa ya CCM kugombea Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu
utakaofanyika October 2015, yeye pia yupo.
Leo tukae tayari kusikia kutoka kwake
mwenyewe rasmi kabisa.. ninazo pichaz za kwanza kwanza hali ilivyo hapa
Mlimani City mpaka sasa mtu wangu.
Nimeambiwa kila kitu kimerahisishwa..
kama uko sehemu ambayo huwezi kuangalia TV wala kusikiliza radio, link
hii itakusaidia na wewe uone LIVE kila kitu kinachoendelea hapa
ndani>>> https://livestream.com/tanzaniampya/launch
0 comments:
Post a Comment