
April 24, 2015

Unknown
Kuna
Taarifa zinasambaa Kwenye Mitandao ya Kijamii Kuhusu Askari Polisi
Kuuwa na wananch Huko Morogoro Ni Uwongo.Taarifa za Ukweli Zilizotofikia
hivi Punde Zinasema Askari Polisi huyo ni Mzima yupo Katika Hospitali
ya Rufaa ya Morogoro. Taarifa Zinazosmbaa ni Hii Hapa Chini
"POLISI
HUYU AMEUWAWA NA WANANCHI NI BAADA YA KUSABABISHA KIFO CHA MUENDESHA
PIKIPIKI MAARUFU KAMA BODABODA,,,NINI MAONI YAKO KWA MAAMUZI YA
WANANCHI"
0 comments:
Post a Comment