Najua
Dar es salaam ipo kwenye hesabu ya majiji yenye foleni Afrika Mashariki
lakini fahamu tu Dar haipo kwenye list ya majiji yenye foleni kubwa
sana wakati wa jioni duniani.
Pamoja na kwamba Dar es salaam inaweza
kukuchelewesha kwenye foleni kwa zaidi ya mpaka dakika 60 kufikia saa
kadhaa kulingana na umbali wa safari yako, hesabu hii ya utafiti
inaonyesha pia baadhi ya miji ambayo inaucheleweshaji mdogo kuliko Dar
na baadhi ya comments za watu zimekua za ukosoaji wa ripoti yenyewe
kwamba haiko sawa.
Saint Petersburg ni mji mwingine wa Russia kwenye hii list, unaambiwa kwa mwaka hawa jamaa hupoteza saa 110 kwenye foleni.
Mexico City Mexico wamechukua namba nne ambapo wanasema foleni yake huifanya safari kuwa kati ya dakika 30 mpaka 58.
RSS Feed
Twitter
April 01, 2015
Unknown
0 comments:
Post a Comment