Thursday, March 26

Selfie_-_YouTube 
Unaambiwa huko Shinyanga kuna binti ambae anatabia ya kujipiga picha za utupu na kuzisambaza kwa kuwatumia wanaume mbalimbali  pamoja na magroup ya what’saap aliyojiunga nayo na kujisifia kuwa yeye ni mzuri, watu waliopata picha hizo ziliwakera na kuamua kwenda kuzisafisha na kuzisambaza maeneo mbalimbali ikiwemo stand ya mabasi.

Wakizungumza kwenye Hekaheka marafiki zake wameelezea kusikitishwa na kitendo alichokifanya msichana huyo kwa kuwa amewazalilisha wanawake  wote na yeye mwenyewe ndio aliowarushia na kuzisambaza kwa makusudi katika mitandao na walishamkanya lakini hakusikia.
Kijana mmoja ambae nae alitumiwa amesema alishangaa kurushiwa picha hizo na binti huyo lakini hakujua alifanya hivyo kwa lengo gani lakini alimchukulia kama msichana mwenye tabia chafu.
Msichana huyo amesema hizo picha amepigwa na mtu wake wa karibu kwa makubaliano yao wenyewe lakini badae alishangaa kuona amezisambaza kwa makusudi na kumzalilisha na pengine amepata chochote kwakupost hizo picha.

0 comments:

-